Marioo – My Life (Official Video)



Marioo – My Life
Out now:

Lyrics
Wanasemaga nabiii hakubaliki kwao “kwaoo”
Hata mi walikuwepo wakunipinga kitaani,
Walisemaga wahenga eti Mtu kwaoo “kwaoo”
Wachache walikuwepo wakaniamini kitaani, aah
Toka home mpaka studio kwa mguu,viwalo vipya kutupia sikuuu,
Nguo mbaya imepauka kuu kuu,
kula yangu anaijua aliye juu uuh uuh,
mmh yeeeh aah,
Mungu hakunyimi vyote akikupa kilema atakupa na mwendo,
sawa sijasoma akanipa kipaji ntimize malengo,
never, never, never never give up
Never, never, never never give up
never, never, never never give up
Never, never, never never give up
Ilikua kama movie,
ila tunaishi kwa love
Waliotukwamishaga tunaln kama changamoto
Leo imekua kama movie,ila tunaishi kwa raha
Tunamipila na kila zaga ujana maji ya moto
Asante sana kwa kunifanya super star,
Leo najulikana kila kona ya mtaaa
Ahsante mama mwanao kipenzi cha watu,
Napendwa sana kona zote za mtaa
Mungu hakunyimi vyote akikupa kilema atakupa na mwendo,
sawa sijasoma akanipa kipaji ntimize malengo,
never, never, never never give up
Never, never, never never give up
never, never, never never give up
Never, never, never never give up

Follow Marioo:

More from Marioo:
Dear Ex –
Naogopa (ft. Harmonize) –
Mi Amor (ft. Jovial) –
Beer Tamu (ft. Tyler ICU, Abbah Process & Visca) –
WOW –

#marioo #mylife #thekidyouknow

Original Source

Please share this page!

Leave a Reply